VG MAMA'S SAFARI HII ILIKUWA KWA ROSE
Jumamosi tulikuwa nyumbani kwa Rose ,Maandalizi kwa dada huyu yalikuwa babu kubwa, kama ujuavyo mtu shughuli ikiwa kwako kukaa chini inakuwa nadra , mara umeitwa huku na kule ila mdada alijitaidi kubalance kwa kweli tulikula tulikunjwa na tulifurahi , na mwisho bila kukosa tulishauriana na kuelimishana kama kawaida kwa akina mama wanapokutana.
Wednesday, August 8, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment