kuna kisingizio au excuse ya ubize au kutokua na mtu wa kukusaidia hadi kumweka mtoto katika hali hii? mtoto anabebwa na mti? jamani kidogo haiingii akilini.
Nakubali, wengi wetu tumelelewa katika mazingira magumu ila inapawa kufikia hapa? mtoto huyu akakua sawa kiakili kweli?
Mdau post your comments on this.
Monday, April 23, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment