Haya tena wanandugu nimerudi tena, baada ya kutokuwa na wewe mpenzi wa blog hii kwa muda usiopungua kama miezi 9, Kwa kweli niliwakosa na ninahamu nanyi ili tujulishane yale yanayotuzunguka katika maisha yetu ya kila siku.
Nianze kwa kuwaomba radhi wle niliowakwanza kutokuwa kwangu hewani labda hakuwa wanapata kitu cha kusoma kutoka humu mara waingiapo ndani ya blog hii kweli inaboa nakuomba radhi, lakini nakuomba sasa uendelee kuingia kwani nimerudi kikamilifu sasa.
yapo mengi ya kujuzana lakini kwa leo ngoja niishie hapo.
Sunday, July 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment