Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, March 30, 2012

Happy Birthday Lorna and Ivana

                                  Happy be la ted Birthday Lorna, Just 1 will be 2 soon
                                      Like I,m so happy, I cannot believe It
                                   IVana , let me help you sister you cant blow!!!!!
                                     I wish it was my Birthday (kemi pleasing herself)
 Je kumlazimisha mtoto kuacha kunyonya kidole ni sawa sawa, au ataacha    mwenyewe akipenda.

2 comments:

Lizzie said...

Wow picha nzuri sana! Watoto wanafurahia sana sherehe zao hasa hasa za kuzaliwa. Na kila mtoto anayeenda kwenye party anawish ingekuwa ya kwake! Kuhusu kumlazimisha mtoto kuacha kunyonya sidhani kama ni busara kwani mtoto ataacha tu mwenyewe kadri atakavyokuwa mkubwa kwani itafikia wakati atakuwa anaona aibu, kwa hiyo ataanza kwa hatua ya kwanza ya kunyonya kidole kwa kujificha ikifuatiwa na kuacha kabisa.

Anonymous said...

mh, inategemea ndugu yangu some of them wananyonya hadi wakubwa hadi vidole vinatoa sugu! i think siku moja we can discuss ways or technics to stop fingure sucking

Post a Comment