Wandugu, hivi kwa dunia ya leo ni nani mwenye jukumu la kutoa hela ya matumizi nyumbani? ni Baba, Mama au wote?
Kwenye vikao tunavyokaa siku hizi inaelekea trend ibebadilika, Mama zetu walikua wakitegemea kila kitu kutoka kwa waume zao na wanaume walikua wakisikia proud to do that, life ya siku hizi wanawake wanatafuta zaidi hata ya hao wanaume. Hivi ni kwa nini? is it that we are competing au? naambiwa wababa wengine either wamepunguza kujihusisha kwao na familia huku wengine wakisema wanawake ndo wamejiongezea majukumu ambayo hayawahusu.
NANI MKWELI KATI YA HAWA? tupe maoni yako!
momntoto@yahoo.com
Thursday, April 12, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment