Kwetu sisi wazazi mtoto kukojoa kitandani ni kitu kama cha kawaida kwa umri fulani ila ukifika umri wa miaka 10 na kuendelea hapo sasa tunaanza kuwa na wasiwasi ila kuna kitu tunaweza kufanya. je unafahamu kitu hicho karibu uchangangie.
Friday, May 18, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Anywe maji mengi wakati wa mchana,kibofu kitanuka na hivyo usiku kibofu kitatunza mkonjo mwingi na atakojoa asubuhi akiamka
Post a Comment