Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, May 15, 2012

Ukiwa unanyonyesha anaweza kupata Mimba?

wanawake wengi tumekua tukijiuliza swali hili na pengine imekua ngumu kupata majibu.
Kiufupi jibu ni ndio! unaweza kupata mimba wakati unanyonyesha na mara nyingi inakua sio nzuri sana maana unakua hujajiandaa kiakili.

inahitaji ujasiri kuendelea na hali hii na maswahiba wengi walioulizwa na momntoto block wamekiri ugumu huo.
wataalam wanasema wale wanaopata utauzito wakati bado wananyonyesha wanakua kuna maali wanaacha gape in the sense kwamba hawanyonyeshi effectively hivyo kuachia mwanya kwa mwili kuambia akili kua yupo tayari kwa mtoto mwingine. inasemekana ukinyonyesha kila mara especially muda wa usiku inakua ngumu kupata periods na hivyo kufanya iwe ngumnu kupata mimba. tupe experience yako kwenye hili tafadhali....

1 comment:

Anonymous said...

NI kweli ukiwa unanyonyesha si rahisi kupata mimba kwani ile hormone ya progestereone inayokuwa juu zaidi ya Oestrogen hormone hii inakufanya usipate siku zako na pia inahusika kutengeneza maziwa ya mtoto. Hormone hiyo hupungua taratibu kadri mtoto anavyopunguza kunyonya hivyo basi unaweza kujikuta umepata ujauzito bila kujua ndio maana unashauriwa kutumia kinga au kufuata njia za uzazi wa mpango hata kama unanyonyesha

Post a Comment