Subscribe:

Ads 468x60px

Showing posts with label BABY FEEDING. Show all posts
Showing posts with label BABY FEEDING. Show all posts

Monday, May 7, 2012

LISHE BORA KWA WATOTO


AINA YA VYAKULA KUMLIKIZA MTOTO NA FAIDA ZAKE,

 Mama wapya kila siku wanawaza ni jinsi gani wataweza kuwalea watoto wao, hasa inapofika wakati wanatakiwa kuwalikiza vyakula zaidi ya maziwa ya mama. Swali kubwa linakuwa ni aina gani ya chakula wapewe watoto. 
Kwa miezi 4 mpaka 6 ya mwanzo mtoto huwa anajitosheleza na maziwa ya mama kwa lishe au hata wakati mwingine katika maziwa ya kopo kwa wale wasionyonyesha. Kwa wakati huo mama anakuwa na uhakikika wa chakula kinachomtosheleza mtoto wake na upatikanaji wake.
Lakini baada ya miezi 6 na kuendelea mtoto anahitaji zaidi ya maziwa, hapo ndipo unatakiwa umpatie chakula zaidi. Lakini kwa mama ambaye ndio kwanza unalea kwa mara ya kwanza, ni kipindi kigumu sana na cha mashaka makubwa kwani hujui ni chakula gani umpatie mwanae.
Lazima umpatie vyakula vyenye lishe bora.

Vyakula vyenye madini ya chuma ni muhimu sana katika ukuaji wa mtoto, madini ya chuma husaidia uzalishwaji wa haemoglobin( sehemu za chembechembe nyekundu za damu ambazo zinabeba oxygen mwilini), vile vile madini ya chuma yanasaidia ukuaji wa ubongo wa mtoto, mfano mtoto kuwa na kumbukumbu nzuri. Hivyo ni muhimu kumpatia mtoto vyakula vyenye madini ya chuma kila siku.
Vyakula hivyoni kama , nyama ya ngombe,kuku, samaki,mayai ,parachichi, broncoli na spinach.

Vyakula vyenye madini ya zinki.
 Kama ilivyo kwa madini ya chuma zink pia husaidia ubongo wamtoto ukuwe vizuri na katika speed inayotakiwa. Zink inasaidia celli za mwili kukuwa na kujiimarisha zenyewe kupambana na magonjwa. Kama kawaida vyakula vyenye madini ya chuma pia kwa asilimia chache vina madini ya zinki, Vyakula kama Nyama,kuku,samaki.
 . 
Vyakula vya madini ya Calcium na Vitamini D
Calcium ni muhimu kwa kuwa na mifupa imara, na vitamin D husaidia na ni muhimu pia.Maziwa ya mama kwa miezi ile ya mwanzo yamesaidia upatikanaji wa madini hayo ya calcium kwa kipindi cha mwaka mmoja. Kwa upande wa Vitamini D, Doctors wameshauri kuwapatia watoto supplements  kwa sababu kuna vyakula vichache vyenye vitamin D, Lakini kwa kiasi kidogo unaweza kuipata kwenye peanut, yogurt, egg yorks na samaki.

Vyakula vyenye Omega 3s/DHA
Kwa watu wazima omega 3s imesaidia sana ugonjwa wa moyo, vile vile kwa watoto inafaida kama hizo,Kwa umri wa mtoto mdogo husaidia kwa kiasi kikubwa kwenye upande wa kuwa na ubongo wenye afya na macho yenye kuona vizuri, Vyakula vilivyo na omega3s ya kutosha ni samaki aina ya salmon, na avocado

Vyakula vyenye Vitamini A,B,C na E
Hizi vitamins zote nne zinausaidia mwili kuanzia juu mpaka chini, kwa kuweza kuwa na ubongo wenye afya atimaye kuwa na akili timamu, Kuwa na macho yanayoona vizuri,Ngozi inayongaa vizuri, Siri ya kuzipata hizi vitamamini kwenye chakuala cha mtoto pendelea kutumia vyakula kama, caroti, viazi vitamu hivi vina kiwango kikubwa cha vitamin A, Mboga za majani za kijani, ndizi, na maharage zina vitamin B, Nyanya, strawberries , zina Vitamini C,  na mahindi, mchele  zinavitamini E. Hivyo basi akina mama  kwa kuandaa vyakula vya watoto tuzingatie hayo.

Wednesday, April 4, 2012

UMRI WA KUMWANZISHIA MTOTO CHAKULA KIGUMU

Mtoto wako atakuwa tayari kuanza vyakula vigumu akiwa na umri wa miezi sita. usije akamwanzishia chakula kigumu akiwa na chini ya miezi sita, kwa sababu utumbo wa mtoto unakuwa haujaweza kusaga vyakula vigumu akiwa na miezi chini ya sita. Na pia anaweza kupata allegies.

Kwa kuanza unaweza kumtengenezea kiugali kilaini sana, tumia unga wa mahindi au mchele.

Ukiona ameshazoea unaweza sasa kumwanzishia kitu kingine, mfano mboga mboga na matunda,, Mfano mboga za majani mchicha na matembele,matunda kama papai, viazi vitamu, viazi mbatata na vingine kama maboga n.k.

Inashauriwa kutompa mtoto maziwa ya ng'ombe, asali na ute ule mweupe wa mayai mpaka afike mwaka mmoja.

kwa kuanza kumpa mtoto hicho chakula kigumu kinatakiwa kisagwe ama kwa kutumia blenda au kipekecho, hakikisha chakula hicho kinakuwa laini, Ila kila anavyozidi kukuwa unaongeza ugumu wa chakula hicho.

Unapomwanzishia mtoto chakula kipya ,unatakiwa umpe kwa siku 2 au3 mfululizo, ilikuguundua kuwa chakula hicho hakina madhara kwake hutaweza kugundua kama utampa kwa siku moja tu, madhara ninayo yazungumzia ni kama allegies.

kwa kuanza unatakiwa umpatie si chini ya vijiko viwili vya chai, uwe unaongeza kipimo kadri siku zinavyoongezeka. kama ikitokea mtoto hajakipenda chakula usikate tamaa, mwanzishie tena chakula hicho hicho alichokikataa siku nyingine tena mpaka atazoea.

Chakula cha mtoto hakitakiwi kuwekwa chumvi, sukari au viungo vyovyote, unatakiwa usafi wa kutosha wakati wa maandalizi ya chakula hicho

Kwa upande wa gharama , chakula kinachoandaliwa na mama nyumbani kina gharama kidogo kulinganisha na kile kinacho unzwa madukani, hivyo basi ili kupunguza ngarama ni vizuri kukiandaa chakula cha mtoto wewe mama mwenyewe.

Kumbuka( Babies don't need sweets not even a lollpop)

Monday, March 19, 2012

Breastfeeding vs Formular feeding


About breast feeding
Nursing is wonderful experience for both mother and baby. It provide a w a special bonding experience that many nursing mother will cherish.

Some of the benefit of breast feeding:
Infection fighting
Antibodies passed from a nursing mother to her baby can lower the occurrence of many diseases,like ear infection,diarrhea,respiratory infection,and meningitis.
Breastfeeding is also benefiacial for premature babies and may also protect babies against,allegies,asthma,diabetes ,obesity and sudden death to the infants.

Nutrition and ease to be digested
Breastfed infants have less difficult with digestion than the formular fed infants,Breast milk tends to be more easily digested so that breast fed babies have fewer incidences of diarrhea and constipation.

Free
Breast milk does not cost anything, while formular cost a lot, and because of the immunity they get from the breast fed they are not easily attached with diseases like the infants who are fed from the formular.
The breast fed mother are less with excuses of taking their childrens to doctors, since the babies immunity is high compare to formularfed mothers.

Obesity prevention
The breastfed mother they automatically lose some weight through breast feeding,also the infants they are protected from obesity.

Smarter babies,
Seriously if you want to have the brighty babies,you better think of breast feeding , some studies have found that some children who were breastfed have slightly higher IQs than babies who were formular fed.

Diet improvement,
Woman who are breast fed they are very careful for what they eat,since what ever they eat can pass to their childrens, through the breast milk, there some food that the breast fed mothers should not take just like when she was pregnant. Some fish which are highly with mercury,alcohol,caffeine. we know there are many benefit to get more of it you just stay with us.

Nine steps to the Effective Parenting this is another topic we will talk about as we know is very much our concern as mothers.
Raising kids is one of the toughest job in the world, and it is the job that one has the least prepared to do. I will list down  the tips that  mighty help to raise the kids so that atleast parents can enjoy their kids.
This is the next topic we will talk about in detail so please stay tuned.

Wednesday, March 14, 2012

mkangaa's juu!

                                            Mkangaa's mpo?