Subscribe:

Ads 468x60px

Showing posts with label MOM'S TOP TIPS. Show all posts
Showing posts with label MOM'S TOP TIPS. Show all posts

Friday, July 6, 2012

YES ALLOWANCE


Allowance Basics.
An allowance can be a great way to teach kids money management skills and help them learn how to make decisions, deal with limited resources, and understand the benefits of saving and charitable giving.
              There’s no single correct way to handle giving an allowance. Deciding when to start ,how much to give, and whether you want to link the allowance to chores are  that should fit your family.

Starting an Allowance.
No particular age is best for every kid, but  consider starting an allowance by the time  a child is 10 years old. By then ,most kids have had  experience  making thoughtful spending decisions  but still look to parents for guidance.
How much allowance  should you give? It depends on your financial situation and what kind of commitment you feel that you can comfortably keep. Experts generally recommend that kids get Tsh  500 Tsh to 1000 per week for every year of their age-Tsh 450 to 900 for 9yrs old ,for example
Regardless  of how much you choose, give the allowance regularly  and  increase the amount as your child gets older

Allowance and Chores.

Should an allowance be tied to chores? Again, it’s a personal choice. Some experts  think that it’s important to make this connection so that kids learn the relationship between work and pay. Others say    that kids should have a responsibility to help with housework, above and beyond any financial incentive.
Ultimately, you must decide  what works best for you. Whatever you decide, be sure that all parties understand the arrangement.
If you give an allowance for doing housework, make sure that your kids understand   what their responsibilities are and the  consequences of not doing them. You might want to involve them in choosing  the chores  and then keep a chart posted to remind them what needs to be done.
It’s  important to be consistent. Following through  on your promise to give a regular allowance sets a good example for your kids and is incentive for them to honor their end of  the bargain . If you don’t keep up with the allowance, they might lose that incentive and stop doing the chores.

Using an Allowance.

How should  kids spend their allowance? It’s good to have them use it for  discretionary things, not essential purchases such as food, clothing .This lets kids make buying decisions –and mistakes-without  dire consequences.
You might want to encourage  kids to put away a portion for charity and another portion for savings. If so, let them choose where to donate  the money. It  may be a cause that a child can relate to in  some way, like an animal shelter or a group that  helps sick  kids.
If  some of the allowance  goes to  savings, consider setting  up  an  account  at a local bank. This way, your  child   can keep track of the money. Many  banks offer special  bank accounts for  kids, and yours  may enjoy  the  experience of getting mail, even if the mail is a bank  statement.

Beyond Allowance.

Once kids become teenagers, you might want to provide a  quarterly clothing allowance  in addition to the weekly allowance.
If you do, establish a reasonable budget  and allow your kids to spend it as they wish – but also to honor its limits. If your son chooses  to buy a 9000  shirt and your daughter opts for a pricey handbag, for example, they might have to   make  compromises  on other clothing choices.

Tuesday, June 12, 2012

MFUNDISHE MTOTO KURUDISHA KITU AMBACHO SI CHAKE


MFUNDISHE MTOTO KURUDISHA KITU AMBACHO SI CHAKE

Wazazi watoto wetu wanapokuwa mashuleni huwa wanachukuliana vitu vyao, mfano mtoto wangu siku moja alikuja na saa ya rafiki yake, nikamuuliza mbona una saa ambayo si yako, akasema nilimuomba rafiki yangu akanipa nivae, tena amesema ni yangu kabisa. Ukweli ni kwamba ilibidi nimwambie mtoto wangu amrudishie rafiki yake saa yake kwani saa ile si yake. Na pia nikamwambia wazazi wake watamuuliza saa yake iko wapi

Kwa mfano huo naomba wazazi  tushirikiane na walimu, kwani mara mtoto akipoteza kitu chochote, nafikiri kitu cha kwanza cha kufanya utamuuliza mwalimu wa darasa na ikitokea shuleni hutapata majibu ya kuridhisha utakuwa huna la kufanya. Kumbe ungemdadisi mtoto kwamba umempa nani saa, au kitu chochote kilichopotea angekwambia amepotezea wapi

Wazazi mtakubaliana na mimi mara nyingi watoto wetu wanapoteza vitu kama penseli, ruler, kichongeo na chupa za juice, folder na n.k . Utajikuta unanunua vitu hivyo mara kwa mara mpaka unachoka na katika hali ya kawaida hutaweza kumwacha mtoto aende shule bila kalamu au ruler hivyo utakuwa unanunua mara kwa mara. Hii ni changamoto  kwa mzazi na mwanae wa shule, ikiwa ni pamoja na kumuuliza mtoto na kumfundisha jinsi ya kutunza vitu vyake, na kumfundisha kukumbuka kuchukuwa kalamu au saa yake ikiwa amempa mwenzie au rafiki yake. Kingine cha msingi ni sisi wazazi kuwachunguza watoto wetu ikiwa wamekuja na vitu ambavyo si vyao na kumshauri kurudisha kwa rafiki au mwenzie aliye vichukuwa kwake.

Ili kwa kiasi kupunguza upotevu wa vitu vya shule kwa watoto wetu ni kufuatilia na kuwafundisha jinsi ya kutunza vitu vinavyowahusu, pia kumchunguza mwanao anapokuja na kitu ambacho si chake kumshauri akirudishe shuleni na kumpatia mwalimu. Kwani walimu huwa wanakuwa na taarifa za upoteaji wa vitu vya wanafunzi hivyo inakuwa rahisi pia kwao tukishirikiana nao kwa namna hiyo

Saturday, June 9, 2012

MWANANGU ANAKOJOA KITANDANI


MWANANGU ANAKOJOA KITANDANI , ANA MIAKA 12, NIFANYEJE,

Kitendo cha mtoto kukokoa kitandani akiwa na umri wa miaka zaidi ya kumi kweli si kitu cha kupuuza ni vizuri kutafuta njia za kumsaidia kuna njia amabzo mimi binafsi nimezitumia na zimenisaidia, na nilipowashirikisha baadhi ya marafiki zangu zimewasaidia,
Moja wapo ya njia hizo ni ushirikiano hapo nyumbani, kati ya mzazi na mtoto, unatakiwa kumshauri mtoto kutokula vitu vya majimaji masaa2 kabla hajaenda kulala, ikiwezekana anywe maji na vitu vingine kama soda au juice masaa 2 kabla hajakwenda kulala,
Pia anatakiwa kabla hajalala kuhakikisha hana mkojo ndani ya kibofu chake , namaanisha kwamba mtoto aende akakojoe kabla hajalala.
Pia ni vizuri usiku kuwe na mtu anakwenda kumwamsha ili aende akakojoe,lada ni dada au mtu yeyeto ukishtuka usiku labda unakwenda kujisaidia ni vizuri utumie wakati huo kumshtua naye aende kujisaidia.
Siku ikitokea kwa bahati mbaya amekojoa kitandani ni vizuri, kumuelewa, na kwa hakika atajisikia vizuri ikimuelewa, kwani hata yeye mtoto sidhani kama anapenda hali hiyo ya kujikojolea.
Kuna baadhi ya wazazi wanawapitisha watoto mitaani na kuwatangazia kuwa wanakojoa kitandani, au pia wanawatangazia kwa marafiki zao mashuleni au mtaani kweli hapo unakuwa ujamsaidia mtoto ila unamuaibisha tu.
Ukiangalia kwa undani hata mtoto mwenyewe hapendi kabisa, ila inakuwa ni hali tu imejitokeza hivyo ni vema kumsaidia na si vizuri kumuabisha kwani hali hiyo inamuumiza zaidi

Tuesday, May 29, 2012

TOYS ZOTE NI NZURI?


TOYS  TUNAZO WANUNULIA WATOTO ZINASAIDIAJE ?

Wazazi tunawapenda sana watoto wetu, kiasi kwamba tunapenda kuwanunulia kila kitu amabacho Wapenda, kuna wakati mtoto anapenda toys nyingine ambazo zinapelekea kumfanya mtoto afanye au awe na tabia mbaya. Mfano ukimnunulia toy ya bunduki hapo moja kwamoja unamfundisha kuwa mpiganaji,mgomvi na na wakati mwingine atakuambia nitakupiga bunduki  nitakuua na bunduki unaona sasa hii inaonyesha kabisa si zawadi nzuri kwa mtoto ,kwani hivyo ndivyo anavyowaambia watoto wenzake anapokuwa anacheza nao.

Umeshawahi sikia huko nchi za wenzetu, baadhi ya wanafunzi wamekutwa na matukio mbalimbali ya kutumia silaha wakiwa mashuleni,  na wakati mwingine kuzitumia kuwauwa wanafunzi wanzao.Kitu kama hicho kinakuwa kimeanzia utotoni, labda watoto kama hao walikuwa wakitumia bunduki za toi na kadhalika.
Kitu cha msingi ni sisi wazazi kuangalia ni toys za aina gani tuwanunulie watoto wetu, hivi ukimnunulia toy ya bunduki unamfundisha nini?

Hivi umeshawahi kumnunulia mtoto kitabu badala ya toy, tunaamasishana kusoma vitabu,lakini hatujafanya jitihada za makusudi kuwafundisha watoto kupenda vitabu kama zawadi na pia kuvisoma pamoja. Hebu kama hujawahi mnunulia mtoto kitabu kama zawadi siku moja ukasema leo sikununulii toy nakununulia kitabu na ufanye hivyo marakwa mara kweli utaleta mabadiliko mazuri, Ili kuwa na kizazi kinachopenda kusoma vitabu ni vizuri sisi wazazi kubadilisha shopping list na kuongezea kununua vitabu katika list hiyo, Hebu jiulize kama unavyokwenda shopping huwa unapitia book shop? ,  umesha wahi kuingia book shop na watoto wako? Na si kuvinunua tu na kuvisoma pia kama wewe hupendi kusema msomee mwanao. Tubadilike kwani watoto wetu hujifunza kutoka kwetu. 

Friday, May 18, 2012

JE UNAJUA DAWA YA KUZUIA MTOTO KUKOJOA KITANDANI

Kwetu sisi wazazi mtoto kukojoa kitandani ni kitu kama cha kawaida kwa umri fulani ila ukifika umri wa miaka 10 na kuendelea hapo sasa tunaanza kuwa na wasiwasi ila kuna kitu tunaweza kufanya. je unafahamu kitu hicho karibu uchangangie.

Tuesday, May 15, 2012

Ukiwa unanyonyesha anaweza kupata Mimba?

wanawake wengi tumekua tukijiuliza swali hili na pengine imekua ngumu kupata majibu.
Kiufupi jibu ni ndio! unaweza kupata mimba wakati unanyonyesha na mara nyingi inakua sio nzuri sana maana unakua hujajiandaa kiakili.

inahitaji ujasiri kuendelea na hali hii na maswahiba wengi walioulizwa na momntoto block wamekiri ugumu huo.
wataalam wanasema wale wanaopata utauzito wakati bado wananyonyesha wanakua kuna maali wanaacha gape in the sense kwamba hawanyonyeshi effectively hivyo kuachia mwanya kwa mwili kuambia akili kua yupo tayari kwa mtoto mwingine. inasemekana ukinyonyesha kila mara especially muda wa usiku inakua ngumu kupata periods na hivyo kufanya iwe ngumnu kupata mimba. tupe experience yako kwenye hili tafadhali....

Sunday, May 13, 2012

TIPS FOR HAPPY BABY


TIPS FOR HAPPY BABY

1.Have a daily routine and stick to it. Knowing what comes next will make your baby feel more secure.
2.Encourage your baby to try new things. When they’re older, make sure they understand that making mistakes is okay and a natural  part of growing up.
3.Create secure and trusting environment for him/her being there both physically and emotionally. Give her all the love and affection she needs.
4.Never compare your child to others – they will pick up on it and feel insecure.
5.When they’re older be sure to set limits and boundaries. For example say NO when your little one does something they shouldn’t. This will help to create safe environment for their development.
6.Praise her when she does something well. Your baby needs to hear this – it will help her to be proud of herself and she will want to try more challenges.
7.Encourage your baby to interact with other babies and adults. This will boost their confidence and they will want to continue to explore and get to know the people around them.
8.Take your baby to new places -  It will stimulate interest in the world.
9.Listen to your baby even if she’s babbling. This shows you value what she has to say .
10.Be good role model. Children learn by watching you, if for example, you meet a new person, they watch your reaction. If you look calm and happy, it lets her know this is good person and she will feel safe.

Sunday, May 6, 2012

KUNYONYA KIDOLE KWA WATOTO.


KUNYONYA KIDOLE KWA WATOTO

Kwa watoto wadogo, kunyonya kidole ni kitu kama cha kawaida vile, ingawa ni kwa watoto wadogo tu, wakati mwingine kunyonya kidole ni njia ya kumfanya mtoto apunguze njaa, ajibembeleze na kujisikia salama,mara nyingi mtoto ataacha  kunyonya kidole akiwa na umri wa miaka 3-6.

Hebu tujiulize kwa nini mtoto anyonye kidole?

Kwa watoto wengi wananyonya kidole kama mbadala wa kula chakula, au kupembelezwa na wakati mwingine ni kujiweka au kujisikia salama, ni kama tabia tu, ambayo mtoto alikuwa nayo tangu akiwa tumboni kwa mama yake, mara nyingi kunyonya kidole kunaletwa na hisia.
Kunyonya kidole kuna madhara kwa baadhi ya watoto watakaoshindwa kuacha kunyonya kidole kwenye umri wa miaka 4.
Inasababisha meno kutojipanga vizuri, wataalamu wa meno wamehusisha matatizo ya kuwa na meno yasiyo jipanga vizuri na kunyonya kidole. Kama mtoto atashindwa acha kunyonya kidole mpaka baada ya miaka 5, kuna uwezekanao mkubwa wa meno yake kutojipanga vizuri, kuota yamebebana, na kupata meno yanayo shindwa kungatana.

Jinsi ya kumsaidia mtoto ili aache kunyonya kidole.

Wazazi huwa wanapata wasiwasi mapema pale mtoto anaposhindwa kuacha kunyonya kidole.Inashauriwa kuwa usimfanye mtoto aache kunyonya kidole akiwa na umri chini ya miaka 4 isipokuwa tu pale utakapoona kuna tatizo linalojitokeza kwa sababu ya kunyonya kwake kidole.
Mara nyingi watoto wanaacha wenyewe kunyonya kidole, ikiwa hatatokea hivyo basi fanya kama hivi.
1.Pendelea kumpataia michezo amabayo itaufanya huo mkono anaonyonya wakati wote uwe busy, kama vile acheze puzzle, achezee toys ili mradi tu awe busy.
2.Akiwa amelala polepole kiondoe kidole mdomoni angalia usimwamshe.
3.Mpe mifano ya marafiki zake walioacha kunyonya kidole, ili umtie moyo nay eye aache.
4.Ongea naye juu ya bacteria wabaya ambao wapo kwenye mazingira ya nje amabayo kupitia kidole chake anaweza kuwapata.
5.Epuka kumwaibisha mbele ya wenzake, kwamba mchekeni jamani ananyonya kidole, usimwadhibu pia .
6.Usitumie njia ya kumtisha au kumwogopesha, kwani kunyonya kidole kwake inaweza kuwa ni emotional problem au anakuwa na stress  na anahitaji kufarajika. Hivyo ni bota kutafuta tatizo la stress na emotional problems zake na kuzitatua kabla hujamlazimisha kuacha kidole.

Thursday, April 12, 2012

JE WATOTO WANAOFUATANA NI LAZIMA WAGOMBANE?

Hili ni swali kutoka kwa mdau wa blog hii, yeye ana watoto wake wawili wamefuatana, wa kwanza ana miaka 7 na wa pili anamiaka 6. Anawapenda sana watoto wake hii ni kawaida kwa mzazi yeyote yule kuwapenda watoto wake unconditional ila kitu kinachomsumbua hajui ni namna gani ataweza kuwa control ili wasigombane, 

Huyo mtoto mkubwa yeye mara nyingi ndiye anayeanza uchokozi, anaweza kumpiga mwenzie bila sasabu yoyote, anaweza kumfinya au anamvuta nywele ili mradi tu ni vurugu humo ndani.Kunakuwa na kelele vilio basi hujui hata usaidie yupi.
Ili kuweka mazingira salama inabidi kuwachukuwa wote na kuwauliza kwa nini wanagombana na kusuluisha huo ugomvi, lakini baada ya muda mfupi wanaanza tena. Sasa naomba ushauri wenu wenzangu wenye watoto wanaogombana kama wangu.

Tuesday, April 10, 2012

WA MAMA WA LEO WANASEMA!!!!!

Kwa wamama wa leo, tunao wasaidizi majumbani mwetu, ila tusipokuwa waangalifu na kuwa watu tunaofuatilia mambo yanayoendele majumbani mwetu kwa kweli tutajikuta tumefika pabaya,

Tunawapenda sana watoto wetu je unajua ni wakati gani wa kuanza kumshirikisha mtoto wako awe wa kike au wa kiume kufanya kazi ndogo ndogo kama vile, kutandika kitanda chake mwenyewe, kuandaa meza wakati dada au mama anapika chakula, kufua nguo zake za ndani mwenyewe n.k

Unaweza kuanza kumfundisha mtoto kufanya vitu vidogovidogo kwa kuanzia chumbani kwake, akiwa na umri wa miaka miwili unaweza kumfundisha kuokota matoi yake aliyoyasambaza chumbani kwake, kisha unamfundisha kutandika kitanda, na kwa vile anavyozidi kukuwa na idadi ya matoi yanaongezeka ni vizuri pia kumfundisha kutoa zile toi ambazo hazimfai kwa maana amekuwa mkubwa na awapatie watoto wengine wechezee..

Ili kuwatengenezea mazingira ya kujiamini unaweza pia kuwanunulia mbwa, au paka au kuku au mnyama yoyote ambaye wanampenda ili wajifunze kuwajibika, mfano  ikiwa wanapenda mbwa wajitahidi kuhakikisha kuwa huyo mbwa anakula, hapo tayari unakuwa umewafundisha kuwajibika japo si wao walio andaa chakula ila watakukumbusha kumpatia mbwa chakula.,

Wanavyozidi kukuwa wanaweza pia kujiandalia chai, kama kuna snacks za kubeba kwenda nazo shule wataweza kujiandalia pia , inabidi tuwape nafasi na sio kuwaambia we acha, mwambie dada, au dada atafua, sawa dada anaweza kufanya kazi zote lakini unamfundisha nini mtoto wako?

  

Saturday, March 17, 2012

It worked for me!

through all joys, tears, ups & downs of being a mother, you are not alone! this compilation of great mothers tips, has been created from other moms- so they are tried and tested. they are all tips that will help solve a problem or make life with your baby just a little easier.

  • when your baby has a blocked nose, put a drop of your breast milk in each of her nostrils. it really hepls
  • keep the safely caps from old medicine bottles as they can he used and fit on the most new medicine bottles. by Dokana
  • when your baby starts getting those first sharp little teeth, the best thing to help soothe the gums is rubbing them genly. use a new, clean and sterilized rubber thimble on your finger so baby can chew away happily and you dont feel that little bite. by Jaide
  • children whose parents display family photo graphs in the home grow up more confident and have a great sense of belonging than those whose parents dont. by prof. Geoff Beattie