Subscribe:

Ads 468x60px

Showing posts with label HAPPY MOMENTS. Show all posts
Showing posts with label HAPPY MOMENTS. Show all posts

Thursday, June 21, 2012

KIDALI PO!


UNAKUMBUKA  MICHEZO YA UTOTONI?

Wazazi wenzungu mnakumbuka michezo ile ya zamani kabla hakujawa na TV, Computer, Play Stations n.k Tulikuwa tunacheza michezo gani.

Mimi nakumbuka, mnakumbuka mchezo unaitwa kidali, kombolela, ready na kadhalika, kwa kweli ilikuwa ni michezo mizuri sana na tulikuwa tunaifurahia sana. Hivi umeshajaribu kuwafundisha watoto wako hii michezo, japo kwa kuwaeleza tu kuwa hapo zamani ulikuwa unacheza michezo aina gani?. Mimi nafikiri ni wakati umefika wa kuwafundisha watoto wetu michezo yetu ya zamani, kwani kwanza licha ya kuwa ilikuwa inafurahisha pia ni mizuri kiafya.

Nimewakumbusha hili kwa sababu hivi sasa kuna tatizo kubwa kwa watoto wetu, ambalo ni la kukaa ndani muda mwingi na kutazama TV, video game, play stations n.k. Tatizo hili lina madhara kiafya kwani watoto wengi wameanza kulalamika, macho kuuma, migongo kuuma ,shingo n.k.

Sasa basi sisi wazazi inabidi tufanye juhudi za makusudi kwa kuwatafutia michezo tofauti ya  kucheza, Michezo ya kujificha, kombolela, yai bovu na mengine mingi inabidi irudi jamani na wa kuirudisha ni sisi wazazi tulio icheza kwa kuwafundisha watoto wetu, Mnakumbuka kuruka kamba  sikuizi kuruka kamba ni mpaka uende Gim.
Maendele ni mazuri lakini tusipokuwa waangalifu watoto wetu tunao wapenda watakuwa wameathirika na maendeleo haya .

Saturday, June 16, 2012

FATHER'S DAY


Agness & Emmanuel sent this to their father ,

To dad  from your daughter,
I wear your shirts, your boots, your hat. A tomboy in a way, but I like that.
Comp or fishing, I’m just a mini you, We have so much fun whatever we do, Back in the woods or out by the water I will always love being your daughter.


To dad from your son
Who is my Father?
He made me,
Father is a source of strength, a teacher and guide, The one his family looks up to , with loving trust and pride, Father is a helper with a willing hand to lend, A partner and adviser, and the finest kind of friend.

Thursday, April 12, 2012

Wamama mmesikia Special Fares za ZNZ?

Ladies mpeipata hiyo?... Precision wana nauli za kutupa kwenda Zanzibar, do you have time? panga kwenda ukajiburudishe na mumeo, watoto, au rafiki!
the fares are as follows: kwenda tu 56,000 taxes zikiwemo  na 112,000 kwenda na kurudi.
Jipe raha mwenyewe dear usisubiri kupewa waswahili wanasema!