Thursday, March 22, 2012
Jamani nisaidieni hili,
Mungu amenijalia kupata watoto wazuri, na napenda waende shule nzuri jirani na ninapoishi, ila kwa muda niliokaa hapa natafuta shule nzuri hapa kigamboni ili niwapeleke watoto wangu, lakini bado sijapata. wakazi wenzangu wa eneo hili mnafahamu shule nzuri naamnisha English medium school huku Kigamboni, au ndio mpaka tuvuke na pantoni ???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Ninavyo fahamu mimi kigamboni, shele za English medium sijawahi kuziona, wala kuzisikia.
Post a Comment