Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, April 19, 2012

MTOTO WA NJE YA NDOA NI NANI?


MTOTO WA NJE YA NDOA NI NANI,

Mtoto aliyezaliwa baada ya wazazi au mzazi wake kufunga ndoa ni mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa, hii haimualalishi  mtoto huyo kuwa mtoto wa ndani ya ndoa hata kama wazazi wake waliomzaa watakuja funga ndoa baadae.
Kumbe ndio maana utaona watu wengi waliochumbiana, wanafunga ndoa hata kama wamekwisha peana ujauzito, Wapo wale wanosubiri mwenzi wake ajifunguo ndio afunge ndoa, ni jambo zuri lakini sijui kama unafahamu kuwa, utakapo mzaa huyo mtoto na kisha uende ukafunge ndoa, mtoto utakaye mzaa ni mtoto wan je ya ndoa hata kama uliyefunga nae ndoa ndiye baba wa  mtoto huyo.
Unaweza kuwa mmoja wa waliojifungua   kwanza , na kisha kufunga ndoa swali langu ni kwamba kisheria kuna njia yoyote ile ya kumualalisha mtoto huyo uliyemzaa kabla hujafunga ndoa ili naye awe mtoto wa ndoa?
Inapendeza na ni vizuri kuwa na watoto wote ndani ya ndoa ,ila kunakuwa na sababu nje ya uwezo wa mtu zinazopelekea kuzaa nje ya ndoa, lakini pia huenda kuna njia ya kurekebisha hali hiyo, yaani kumhalalisha mtoto huyo wan je ya ndoa ,kama kuna mtu yeyote anayefahamu ni namna gani tunaweza kumhalalisha mtoto wan je ya ndoa  tunaomba ushauri wako.

UMEKISAJILI CHETI CHAKO CHA NDOA?

Wengi wetu tunafahamu kuwa ukishafunga ndoa halali, kwa wakristo au waislam ni lazima utapatiwa cheti cha ndoa. Ni uthibitisho kwamba watu wawili hao ni mke na mume. Lakini kumbe  vyeti hivyo vinatakiwa pia kusajiliwa na serikali, hivyo basi mume au mke unatakiwa uvipeleke vyeti hivyo kwenye ofisi za Wakala wa Usajili na Udhamini (RITA) huko sasa vinasajiliwa tena.
Kwa kufanya hivyo unakuwa na uhakika ya kuwa ndoa yako inatambulika pia katika serikali ya nchi yako, na pia inasaidia sana kwa kutunza kumbukumbu ambazo kwa sababu mbalimbali za kudai haki hasa kwa akina mama, endapo kuna tatizo la kisheria utakalokuwa nalo.
Mimi ni mwenzenu nilikuwa sijui, lakini baada ya kufahamishwa nilikwenda kusajili cha kwangu inabidi niwashirikishe na nyie pia, wewe mama ambaye ndiye unayetunza Documents zote hapo nyumbani kwako chukuwa hatua na ue nde RITA.  

1 comment:

Anonymous said...

Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com

Post a Comment